Post Page Advertisement [Top]

ASHKAR ENTERPRISES wanakuletea mikoba kwa ajili ya kutokea sehem tofauti tofauti kwa kina mama na kina dada
Mikoba hiii utipata kwa rangi tofauti tofauti na kwa size uitakayo kulingana na mahitaji yako
Mikoba hii imetengenezwa kulingana na hali ya hewa ya kitanzania pia kulingana matakwa ya wanawake wakitanzania

Mikoba hii inapatikana kwa bei nafuu sana ambayo mtanzania yeyeto na wakipato chochote anaweza kuimudu 

Bei zetu zinatofautiana kutokana na ukubwa (size) ya mkoba 
Fika sasa ofisini kwetu uweze kujipatia mkoba wako kabla haijaisha 
Duka letu lipo Akiba karibia na chuo cha CBE Dar Es Salaam

Au wasiliana nasi kupitia namba zifuatazo
0716 324 723
0679 484 492

KARIBUNI SANA 



1 comment:

  1. Baccarat for Beginners: A Beginner's Guide to Baccarat
    Baccarat is one of the oldest and most popular variants of the worrione game. As you might know, this is 바카라사이트 a two-player game, not septcasino a three-card

    ReplyDelete

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib