Post Page Advertisement [Top]

 Evolution of Youth Ability Org

EVO-REFTO ni shirika lisilo la kiserekali linalojihusisha na shughuli mbalimbali za kijamii kama kutembelea watoto yatima, kufanya usaf mahospitalini na kukuza au kuvumbua vipaji vipatikanavyo katika jamii. EVO-REFTO lenye makao makuu Dar Es Salaam Kinondoni Manyanya Nyuma ya ofisi za BAKWATA.


Mwaka huu wamekuja na tamasha babkubwa TAMASHA LA VIPAJI 2018 ambalo litawakutanisha vijana mbalimbali kutoka katika jiji la Dar Es Salaam na nje ya Dar Es Salaam. Ambao wataonyesha vipaji vyao kama kuimba, kucheza, kuigiza n.k. Zawadi kwa atakae paform vizuri zitatolewa
Pia watakuwepo wasanii maarafu watakao paform katika stage
Mahali patukio; Don Bosco (Upanga)
Tarehe; 22 september 2018


Kwako wewe kijana ni nafasi yako sasa kuionyesha jamii kipaji chako na pia ni wakat wako kujikwamua maisha kupitia kipaji chako. kwanini uhangaike kunung'unika maisha magumu wakati kipaji unacho NI NAFASI YAKO SASA.

Fika sasa ofisini ujisajili kwa shilingi elfu tatu tu (3,000)
Au kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa namba zifuatazo
0657 112 080
0744 292 616
0692 397 262
KIPAJI CHAKO AJIRA YAKO

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib